Abdallah Omar Kigoda
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Abdallah Omar Kigoda (amezaliwa 25 Novemba 1953) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania la 2005-2010 akiwakilisha jimbo la uchaguzi la Handeni.
Viungo vya nje [hariri]
- Tovuti ya Bunge la Tanzania
| Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |