A Different Me

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
A Different Me
A Different Me Cover
Kasha ya albamu ya A Different Me.
Studio album ya Keyshia Cole
Imetolewa Desemba 16, 2008
Imerekodiwa 2008
Aina R&B, hip hop soul
Lugha Kiingereza
Studio Imani/Geffen, Interscope
Mtayarishaji Keyshia Cole (exec.), Manny Halley (exec.), Ron Fair (exec.), Polow da Don, The Runners, The Outsyders, Kwamé, Orthodox & Ransom, Carvin & Ivan, Toxic, Tank, Jason T. Miller, Theron "Neffu" Feemster, Reo, Poke & Tone, Spandor
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Keyshia Cole
Just like You
(2007)
A Different Me
(2008)
Single za kutoka katika albamu ya A Different Me
  1. "Playa Cardz Right"
    Imetolewa: Oktoba 28, 2008
  2. "You Complete Me"
    Imetolewa: Januari 20, 2009
  3. "Trust"
    Imetolewa: Mei 5, 2009

A Different Me ni albamu ya tatu kutoka kwa mwanamuziki: Keyshia Cole, iliyotolewa mnamo Desemba 16, 2008 nchini Marekani.[1][2] Albamu hii imethibitishwa platinum na RIAA.[3]

Yaliyomo

[hariri] Kuhusu albamu hii

Albamu hii inazingatia upevu wa sauti na maneno ya Keyshia Cole.[4] Cole alieleza kuwa albamu zake za awali zilizingatia machungu yake, lakini sasa amebadilisha mwelekeo na kuwa mwamamke ambayee bado anakomaa na aliye katika harakati ya kujutafuta katika dunia hii.

[hariri] Matokeo

Andy Kellman wa hutoka Allmusic alipatia albamu hii nyota nne juu ya tano.[5] Jim Farber wa kutoka Daily News (New York) pia aliipa nyota nne juu ya tano.[6]

Albamu hii ilifika namba 2 kwenye chati ya Billboard 200, na kuuza nakala 322,000 kwenye wiki yake ya kwanza.[7] Katika wiki yake ya pili, albamu hii ilishuka hadi namba 7, na kuuza nakala 127,000.[8] Katika wiki ya tatu na ya nne, albamu hii ilibaki kwa namba 7 na kuuza nakala 54,000 kwenye wiki ya tatu na nakala 37,000 kwenye wiki ya nne.[9][10] Katika wiki yake ya tano, albamu hii ilishuka hadi namba 9, na ikauza nakala 31,000.[11] Kwenye wiki ya sita, albamu hii ilipanda hadi namba sita, na kuuza nakala 31,000.[12] Katika wiki yake ya saba, albamu hiiilishuka hadi namba 8, na kuuza nakala 31,000.[13] Katika wiki yake ya nane, albamu hii ilishuka hadi namba kumi, na kuuza nakala 34,000.[14] Albamu hii imethibitishwa platinum na RIAA'. Mauzo ya nchini Marekani hadi Novemba 2009 ni takriban nakala 980,000.

[hariri] Nyimbo zake

# Jina Producer(s) Urefu
1. "A Different Me Intro"   Reo 1:47
2. "Make Me Over"   Polow da Don & Ron Fair 3:06
3. "Please Don't Stop"   The Runners & Ron Fair 4:04
4. "Erotic"   "THE-RON" Feemster (Additional Production by Ron Fair) 4:10
5. "You Complete Me"   "THE-RON" Feemster (Additional Production by Ron Fair) 3:51
6. "No Other" (featuring Amina Harris) Kwamé (Additional Production by Ron Fair) 3:35
7. "Oh-Oh, Yeah-Yea" (featuring Nas) The Outsyders 3:58
8. "Playa Cardz Right" (featuring 2Pac) Carvin & Ivan and Ron Fair 4:51
9. "Brand New"   Additional Production by Ron Fair 4:16
10. "Trust" (with Monica) Toxic Donald Alford and Ron Fair, Written By Keyshia Cole 4:13
11. "Thought You Should Know"   Tank and Ron Fair 4:18
12. "This Is Us"   Ron Fair and Jason T. Miller 3:16
13. "Where This Love Could End Up"   Poke & Tone and The ARE 2:55
14. "Beautiful Music"   Poke & Tone and Spanador 3:59
15. "A Different Me Outro"   Reo 1:31
16. "Playa Cardz Right (No Rap Version)" (iTunes bonus track) Carvin & Ivan and Ron Fair 3:57
17. "I Love You (Part 3)" (featuring Lil Wayne) (iTunes bonus track) Carvin & Ivan and Ron Fair 4:23

[hariri] Wafanyi kazi

  • Kid Named Gus – engineer
  • Jonathan Merritt – assistant engineer
  • Jason T. Miller - producer, guitar, synths
  • Peter Mokran – mixing
  • James Murray – engineer
  • Vek Neal – illustrations
  • Outsyders – producer, engineer
  • Carlos Oyanedel – mixing assistant
  • Dave Pensado – mixing
  • Jason Perry – drums
  • Poke & Tone – producer
  • Polow da Don – producer
  • James Poyser – producer
  • David "DQ" Quinones – engineer
  • Josh "Guido" Rivera – guitar
  • Mike Ruiz – photography
  • The Runners – producer, engineer
  • Allen Sides – string engineer
  • Johnnie "Smurf" Smith – keyboards
  • Phil Tan – mixing
  • Tank – producer
  • Eric Weaver – mixing assistant
  • Frank Wolf – string engineer
  • Andrew Wuepper – mixing assistant

[hariri] Chati

Chati (2008) Namba
U.S. Billboard 200[15] 2
U.S. Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums[16] 1

[hariri] Marejeo

  1. Keyshia Cole official site. KeyshiaCole.com. Rudishwa juu ya 2008-11-07.
  2. Mitchell, Gail (2008-11-07). Keyshia Cole Shows A New Side Of 'Me'. Billboard. Nielsen Business Media. Rudishwa juu ya 2008-11-07.
  3. RIAA - Platinum. RIAA. Rudishwa juu ya 2009-03-19.
  4. BET Keeps it all in the Family with the Return of 'Keyshia Cole: The Way It Is' and the New Original Series 'Brothers To Brutha'. MarketWatch (2008-11-06). Rudishwa juu ya 2008-11-07.
  5. Kellman, Andy. A Different Me - Overview. Allmusic. Rudishwa juu ya 2008-12-29.
  6. Farber, Jim (2008-12-21). A Keyshia Cole front. Daily News. Mortimer Zuckerman. Rudishwa juu ya 2008-12-29.
  7. Cohen, Jonathan (2008-12-24). Taylor Swift Trumps Big Debuts To Stay No. 1. Billboard. Nielsen Business Media. Rudishwa juu ya 2008-12-24.
  8. Hasty, Katie (2008-12-31). Taylor Swift Reigns Again On Billboard 200. Billboard. Nielsen Business Media. Rudishwa juu ya 2008-12-31.
  9. Hasty, Katie (2009-01-07). Taylor Swift Still In Control Of Billboard 200. Billboard. Nielsen Business Media. Rudishwa juu ya 2009-01-07.
  10. Hasty, Katie (2009-01-14). Taylor Swift Tops Album Chart For Sixth Week. Billboard. Nielsen Business Media. Rudishwa juu ya 2009-01-14.
  11. Hasty, Katie (2009-01-21). Swift Makes It Lucky Seven Atop Billboard 200. Billboard. Nielsen Business Media. Rudishwa juu ya 2009-01-21.
  12. Hasty, Katie (2009-01-28). Taylor Swift Album Starts Eighth Week At No. 1. Billboard. Nielsen Business Media. Rudishwa juu ya 2009-01-28.
  13. Hasty, Katie (2009-02-02). Springsteen Has 'Dream' Debut Atop Album Chart. Billboard. Nielsen Business Media. Rudishwa juu ya 2009-02-02.
  14. Hasty, Katie (2009-02-11). The Fray Topples Springsteen On Billboard 200. Billboard. Nielsen Business Media. Rudishwa juu ya 2009-02-11.
  15. The Billboard 200 - A Different Me - Keyshia Cole. Billboard. Nielsen Business Media. Rudishwa juu ya 2008-12-31.
  16. Top R&B/Hip-Hop Albums - A Different Me - Keyshia Cole. Billboard. Nielsen Business Media. Rudishwa juu ya 2008-12-31.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine