97
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 1 KK | Karne ya 1 | Karne ya 2 | ►
◄ | Miaka ya 60 | Miaka ya 70 | Miaka ya 80 | Miaka ya 90 | Miaka ya 100 | Miaka ya 110 | Miaka ya 120 | ►
◄◄ | ◄ | 93 | 94 | 95 | 96 | 97 | 98 | 99 | 100 | 101 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 97 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 28 Oktoba - Kaisari Nerva wa Roma amteua Traiano kama mfuasi wake kwa kusudi la kuzuia uasi wa kijeshi.
- Koloni ya Curculum yaanzishwa na Waroma wa Kale huko Numidia - leo ni mji wa Djemila katika Aljeria.
- Halmashauri ya sanhedrini ya Jamnia pamoja na cheo cha Nasi yatambuliwa na Kaisari Nerva kama mwakilishi wa Wayahudi katika Dola la Roma.
- Jeshi la China lafika Bahari ya Kaspi likiongozwa na jemadari Ban Chao na kuanzisha ubalozi katika Parthia lakini haiendelei hadi eneo la Roma jinsi ilivyokusudiwa.
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 97 XCVII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 3857 – 3858 |
| Kalenda ya Ethiopia | 89 – 90 |
| Kalenda ya Kiarmenia | I/T |
| Kalenda ya Kiislamu | 541 BH – 540 BH |
| Kalenda ya Kiajemi | 525 BP – 524 BP |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 152 – 153 |
| - Shaka Samvat | 19 – 20 |
| - Kali Yuga | 3198 – 3199 |
| Kalenda ya Kichina | 2793 – 2794 丙申 – 丁酉 |
Waliofariki [hariri]
- Mnamo 97: Timotheo aliyekuwa mwanafunzi wa Mtume Paulo
- Mnamo 97: Tito aliyekuwa mwanafunzi wa Mtume Paulo
Wikimedia Commons ina media kuhusu: