Šilutė
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Šilutė (Kijerumani: Heydekrug) ni mji nchini Lituanya. Kuna wakazi 21,476 (mwaka 2001). Mji ulianzishwa 1511.
[hariri] Jiografia
Umbali na Jiji la Klaipėda ni 48 km.
[hariri] Viungo vya nje
| Makala hiyo kuhusu "Šilutė" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Šilutė kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |