İzmit

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
İzmit

İzmit (zamani Νικομήδεια, Nikomedeia) ni mji wa Uturuki. Upo katikati ya Mkoa wa Kocaeli na vilevile ni Manispaa ya Kocaeli.

Uko katika Ghuba ya İzmit (zamani waliita Ghuba ya Astacus) kwenye Bahari ya Marmara, kiasi cha km 100 (mi 62) kutoka mashariki mwa mji wa Istanbul, juu ya Kaskazini-magharibi mwa rasi ya Anatolia.

Kiasi cha watu 570,077 wanaishi mjini hapa (2017).

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu İzmit kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.