Örnsköldsvik
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Örnsköldsvik ni mji nchini Uswidi. Kuna wakazi 28 617 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1842. Jina ni ya Kiswidi, maana yake ni: örn = tai, sköld = ngao, vik = hori.
Jiografia [hariri]
Eneo lake ni 23.97 km².
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Örnsköldsvik kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |