Ágreda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ágreda
Penye alama nyekundu ndio ukubwa wa manisipaa ya Ágreda
Nchi Hispania
Jimbo / Mkoa Soria
Manisipaa Ágreda
Eneo 164,93 km² (63.7 sq mi)
Wakazi 3,215

Ágreda ni mji mdogo wa mkoa wa Soria katika jimbo la Kastila-Leon la Hispania. Kutokana na sensa iliyofanyika mwaka 2004 na (INE), manisipaa hiyo hadi sasa inaidadi ya wakazi wapatao 3,215.

Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ágreda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.